Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-28-14-19-12.png
 
Jose Mourinho has decided to make three changes to the United side that started the defeat against Huddersfield, with Eric Bailly, Henrikh Mkhitaryan and Marcus Rashford coming into the starting line-up to replace Juan Mata, Jesse Lingard and Anthony Martial as they switch to a back three.
 
Sio leo ni siku akikutana na man city

Kwani leo ndo anavaana na Man City?

Kama Numbisa anataka kujumlisha na hili deni sugu korofi basi aongeze ziwe likes 300. Tunafuta deni la Uniq na lako...

Aaah hapo umevunja makubaliano daah mpaka mnyakyusa wa watu anatoa talaka bila kupenda,mke anampenda ila den la mahari mwiba mkali

November 7 ama?

Mbona alikubali? Na makaratasi akasaini? Mbele ya mashahidi? Uwezo wa kulipa anao tena kwake ng'ombe 15 ni vijisenti tu. Mbona asilipe tu yakaisha?
Shemeji nimetunza ushahidi wa ahadi yako
da9e8b2afc789bede07b24980fa7ce40.jpg
 
Back
Top Bottom