tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,328
Niambie KK mzima wewe?
Niambie KK mzima wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuki kwa nguruwe
[emoji126] [emoji126] [emoji126]We shemeji wewe acha utani[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae kuwa sapuraizid[emoji23][emoji23][emoji23]
Nazingoja kwakweli maana hali si nzuri kipindi cha upepo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sanaZamaniii nipo mbugani kuchunga ng'ombe,yapata saa sita mchana nina redio(Philips) mkononi na kipindi ni mchana mwema.Nausikiliza wimbo 'Christina Moshi'
Betri 12 za nje zimefungwa ili kuongeza nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji106][emoji106][emoji106]Lineups are announced and players are warming up.
Na nyie muache kuchapia [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuchapiwa kunauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
23 mins to goHuwa sikimbii likes. Utanicheka huku unanimwagia likes hahahhaa ila leo mnapigwaaaa. GGMU
Zile likes 100 mi naona ziende zikafute mahari ya Uniq tunayomdai kwa ajili ya kumuoa Baby S (ng'ombe wawili majike wa maziwa na mbuzi wanane. Sijui na bata 30?). Huyu Mnyakyusa acha tu tukomae naye aisee. Au unasemaje?Hee ina maana zile likes 100 nazo hazitasaidia?
Teh teh teh. Ondoa khofu nikirudi nitakutafutaDaaahh hata sielewi imekuwaje baada ya umoja kufutika nawe ukahama mji[emoji15]
Ananikimbiaga sana.Jana nimeuza sura Mtoni kwa Aziz Ali tokea saa tano asubuhi hadi saa mbili usiku hakutokea.Aanguke wapi? Si ajabu ni wale madaktari waleee yaani ukimwona tu vijidudu vya Malaria vinasarenda ghafla na homa inakuachia paaap! Jifanye kujitolea kumpelekea Fuso la maparachichi ili ukajionee mwenyewe laivu....
Solemba solemba solemba haaaaa[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji445]Natamani kurudi utotoni,niape kwa kumjumuisha Mungu kama shahidi ili nipone adhabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mweeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hivi nimeoa au nimeolewa?Navyojua sijaachika, full stop!
Poa poa usisahau kazawadiTeh teh teh. Ondoa khofu nikirudi nitakutafuta
Mkuu acha kabisa ujumbe rhythms safi kabisaNatamani kurudi utotoni,niape kwa kumjumuisha Mungu kama shahidi ili nipone adhabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]