mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Gonga likesJamani mie nimechelewa kuuona huu uzi lakini napendaga ma LIKES kama msanii.
Gonga likesJamani mie nimechelewa kuuona huu uzi lakini napendaga ma LIKES kama msanii.
Yaani we fanya kwa raha zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena ngoja nitafute comment yako moja tata niscreenshot kwa raha zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PamojaSawa Mkuu heshima yako. Mimi pia naangalia Mkuu.
Safi mkuu kabisa ni ujinga na utotoHapo sawa. Watu wanaofanya hivyo wana matatizo na ni ujinga, utoto na unyama tu. Na mara nyingi ni watoto wa shule. Mi mtu akinifanyia hivyo nitamtafuta tu sitamwachia aisee. Hata kama ni kumburuza mahakamani kabisa....
Kabisa mkuu kukosekana kwa Kane pale mbele kumewaokoa man uMuda kama huu liver tayari walikula goli
Na kila mtu na aseme Aaaaaaamen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Don't let him walk away
He's so patient but, don't take a chance
All you need to do is open the door
Let Him take his rightful place
So He can change your world....[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji274] Saturday[emoji274]
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Hahahahaha we mchokozi hahahaa ile 4-1 hatar
Jamani mie nimechelewa kuuona huu uzi lakini napendaga ma LIKES kama msanii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji unapenda migogoro ya dada zako na waume zao...Mjadala haukufikiwa ni deni lipi. Lete ushahidi kama kuna mahali iliamriwa kuwa deni la Andjul ndilo linasamehewa.
[emoji117][emoji117][emoji117]Ila na mimi duh! Kumbe pia kuna ishu fukuto kuhusu talaka ya Carba na bro. Bado kuna Uniq. Andjul mdaiwa sugu. Mzee wa Pwani naye kuna kipindi alifikia hata kuzungumzia mahari. Duh mpaka napata kizunguzungu. Ai niidi helpu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]