Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Asha Baraka suguTwanga pepeta sugu
Hamna tulikuwa tunaongea kitu kingine kabisaKumbe nimeharibu? Nisameheni bure
Mkuu ile sikirini shoti ina madhara? Tuambiane mapema tusikwazane...Aseni Wenga anaishi vizuri na wachezaji wake pamoja na kufungwa mara kwa mara,kwanini sisi isiwe zaidi yao?Utani tu huu. Sina stress humu kabisaaa hata chembe. Anaye-screenshot kwa kweli na afanye hivyo kwa raha zake...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shemejiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani huwa sipendi ukiniita mkuu basi tu. Mkuu gani wakati watu tumezoeana humu huu mwezi wa pili/tatu sasa?
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] na mimi usinisahauMi na wewe tena shemeji,wala usijali
Hii ni nzuri sana