Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hueleweki. Mara unasarenda. Mara unarudisha majeshi. Hujui kanuni ya vita hata moja?Safari hii nipo radhi kwenda hata Bagamoyo. Huyo kivuruge na awepo tu, nshachoka na mikwara mbuzi. Mpaka kieleweke safari hii! [emoji23][emoji23]
Unajua Avatar hiyo ilivyopatikana? Hakukosea aliyesema usione vyaelea...
Nimefanyaje tena?Ila na wewe shemeji haueleweki ujue!!
Na wewe toa likes kwa post zote zinazokuzunguka...Napenda likes
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]umeona maneno ya yego?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemeji wewe*MITOMINGI*; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo
*MAMA_MAZOEA*; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo).
*MAZOEA*; Hodi! Hodi!
*NGOSWE*; Karibu
*MAZOEA*; (Akiingia). Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.
*NGOSWE*; Vyombo! Kaa basi mbona unasimama kama vile hakuna viti.
*MAZOEA*; Nimeambiwa nifanye haraka.
*NGOSWE*; Mmm! Haya ngoja ninawe basi (Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando). Hivo mzima wee?
*MAZOEA*; Bee?
*NGOSWE*; Salama?
*MAZOEA*; Salama tu.
*NGOSWE*; Sasa ndio umekataa kukaa?
*MAZOEA*; (Ajidai hakusikia) Si umekwisha maliza?
*NGOSWE*; Bado kidogo.
*MAZOEA*; Basi nitakuja chukua baadaye. (Ataka kutoka)
*NGOSWE*; Basi nenda navyo. (Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. (Ngoswe kwa sauti ndogo). Hivyo waitwa nani?
*MAZOEA*; Mie?
*NGOSWE*; Ndio wewe hapo kisura.
*MAZOEA*; (anatabasamu huku akiondoka). Mazoea!i
Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe! ! !
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unamaanisha nini haeleweki?Ila na wewe shemeji haueleweki ujue!!
Ndio mana nikawa cc mashemeji mje mjionee huku,ila nashangaa andjul anasema sieleweki[emoji19][emoji19][emoji19]Unajua Avatar hiyo ilivyopatikana? Hakukosea aliyesema usione vyaelea...
Watu tusake avatar hukoo halafu we uje ushushie na Masha Allah! Come on man!!!
Hueleweki. Mara unasarenda. Mara unarudisha majeshi. Hujui kanuni ya vita hata moja?
Nimekwambia nawashirikisha safari hii,we pambana nao tuUsiwe unawastua basi na wewe, khaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba nishiriki kumsimanga andaeitiniUnajua Avatar hiyo ilivyopatikana? Hakukosea aliyesema usione vyaelea...
Watu tusake avatar hukoo halafu we uje ushushie na Masha Allah! Come on man!!!
[emoji4] Asante
Umekuwa sitaki nataka kwa YegoNimefanyaje tena?
Unajua Avatar hiyo ilivyopatikana? Hakukosea aliyesema usione vyaelea...
Watu tusake avatar hukoo halafu we uje ushushie na Masha Allah! Come on man!!!
Naangalia huu mpambano kama hivi,kupendwa na mashemeji raha sana ila mume mwenyewe habari tu hana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba nishiriki kumsimanga andaeitini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba nishiriki kumsimanga andaeitini
Sijambo mwanawasu[emoji5] [emoji5] [emoji5] , habari yako yego?jakitoo, hujambo mwanawasu?[emoji1]