Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila nikisarenda limoyo langu linadunda na kunisisitiza kuwa, niache uzembe: Nipambane mpaka kieleweke! [emoji23][emoji23]
Shida yako hauko creative. Mbali na tani za maua, mvinyo mwekundu na pea ile ya viatu vya mchuchumio sijaona jingine la maana. Kwenye vita huwezi kuwa unarudia mbinu zile zile zinazokufanya upigwe kila mara....
 
Halafu hata huyo anayepigana naye vita anachoka maana anakariri kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naangalia huu mpambano kama hivi,kupendwa na mashemeji raha sana ila mume mwenyewe habari tu hanaView attachment 619296
Huyu bro nimeanza kuwa na wasiwasi naye. Kila siku sisi ndo tupambane. Tunakaribia kuchoka aisee. Itafika mahala hata kama ni talaka umlime tu kwa kweli liwalo na liwe. Ila Yego hatumtaki. Bakia kwenye ukoo wetu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…