Toka hapa sitaki[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Keep your head up baby girl
We meant to each other
Baki na mimi [emoji171][emoji171][emoji180][emoji171][emoji180]
Kataaaa na ukatae kabisaaaaSitaki nimezoea bajaji mie[emoji57][emoji57][emoji57]
Yaani nakataaa chochote atakachonipa nimekubali kubaki kwenye ukoo pendwa huu,nisharidhika mwenyewe ila sio kubaki kwa Cole[emoji15][emoji15][emoji15]Kataaaa na ukatae kabisaaaa
Heri hayupo anatafuta ubuyu insta acha apate ubuyu kwanza[emoji23] [emoji23]Watia huruma hasa na unabahati numbisa hayumo humu ungeenda kulala sasahivi
Mshenga wa ile harusi heshima yako.Kwi kwi kwi kwi kwi kumbe unaweza kuhonga Ooops! kumpa mtu avatar humu eh!? hahahahahahahah mie nilikuwa silijui hili! Ahsate sana kwa kunifungua macho. Ngoja nianze kuzisaka 🙂🙂🙂
Mkuu mkuu, ala ala mtoto wa watu nsamaka[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kivurugeeee....
Akija hapa hiko kicheko chake sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heri hayupo anatafuta ubuyu insta acha apate ubuyu kwanza[emoji23] [emoji23]
Usisahau kata ya 14 Temeke.Mundo bar bado ipo?Nico, Zengekala & Juwata Jazz Band. JJB. Hiyo ni ndani ya Wami bar Mwanyamala, Mundo Bar Temeke, holi la polisi Chang'ombe. Kigongo bar Buguruni, Mazulia Vingunguti, River side Ubungo nk. 1985-1987. Nico zengekala, moshi William, Tino *******, Shaaban Dede, Fresh Jumbe, Suleiman Mbwembwe. Abdi Ridhiwani, Joseph Rusungu, Mnenge Ramadhani, Kassim Mponda, Chini ya uongozi wa Saidi Mabera "dokta"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MarkMyoyambendi...
Anaweza kunipa dawa yule maana vipicha picha vyake sivioni hivi karibuniAkija hapa hiko kicheko chake sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]