Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1509208418336.jpg
 
Hata mimi kanichosha kwakweli,yeye sijui hata yuko wapi yaani mimi kila siku napambaniwa na mashemeji mwenyewe yuko hukoooo anakula bataz tu
Yego hata mimi simtaki sasahivi bora nibaki kwenye ukoo tu hata kama peke yangu[emoji47][emoji47][emoji47]

[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️!!
 
Huyu bro nimeanza kuwa na wasiwasi naye. Kila siku sisi ndo tupambane. Tunakaribia kuchoka aisee. Itafika mahala hata kama ni talaka umlime tu kwa kweli liwalo na liwe. Ila Yego hatumtaki. Bakia kwenye ukoo wetu !!!
Sawa kabisa.Talaka atapewa kwa sharti la kubaki kwenye ukoo.
Kuna muda shemeji unaingiaga kwenye vita ya kupigania haki tu (kama hii) bila kujali inakunufaisha nini [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ulinipa ahadi tukutane kwenu..nikitumaini nimewahiii..nilichopata kwako ni matusi na dharau telee...[emoji445][emoji445][emoji445]
Nico, Zengekala & Juwata Jazz Band. JJB. Hiyo ni ndani ya Wami bar Mwanyamala, Mundo Bar Temeke, holi la polisi Chang'ombe. Kigongo bar Buguruni, Mazulia Vingunguti, River side Ubungo nk. 1985-1987. Nico zengekala, moshi William, Tino *******, Shaaban Dede, Fresh Jumbe, Suleiman Mbwembwe. Abdi Ridhiwani, Joseph Rusungu, Mnenge Ramadhani, Kassim Mponda, Chini ya uongozi wa Saidi Mabera "dokta"
 
Back
Top Bottom