Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1509208392467.jpg
 
Kuna muda najiulizaga "hii vita tunapigana kwa manufaa ya nani?"
Ila nimejitolea kupigana bila kujua faida gani nitapata,andaeitini hawezi kumpata carba kwa thamani ya kaua kamoja tu.Kwetu ni matusi kumthaminisha binti mrembo na vitawi vya majani majani.

carbamazepine, kamata hii kitu!
IMG_2579.jpg

[emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
 
Sawa kabisa.Talaka atapewa kwa sharti la kubaki kwenye ukoo.
Kuna muda shemeji unaingiaga kwenye vita ya kupigania haki tu (kama hii) bila kujali inakunufaisha nini [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Shemeji ajiangalie aisee....akipewa talaka halafu abakie ukooni mh!!


Naota naota nadanganywaaaa[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
 
Andjul mbabaishaji. Nimeshamwambia hana ubavu wa kukuacha mwanamke kama wewe. Mwanamke bado mrembo kila unakopita mijibaba inahangaika mpaka mingine imekwama Mogadishu kutafuta mahari. Hakuna cha talaka wala nini shemeji naona anafurahisha baraza tu. Ndoa yenu itakoma siku wewe ukiamua kumuacha na si vinginevyo!!!
Waambie waachane bhana, khaa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] mtu gani anasafiri bila hata kuaga majirani[emoji3] [emoji3]
 
Nico, Zengekala & Juwata Jazz Band. JJB. Hiyo ni ndani ya Wami bar Mwanyamala, Mundo Bar Temeke, holi la polisi Chang'ombe. Kigongo bar Buguruni, Mazulia Vingunguti, River side Ubungo nk. 1985-1987. Nico zengekala, moshi William, Tino *******, Shaaban Dede, Fresh Jumbe, Suleiman Mbwembwe. Abdi Ridhiwani, Joseph Rusungu, Mnenge Ramadhani, Kassim Mponda, Chini ya uongozi wa Saidi Mabera "dokta"
Kizazi cha dhahabu...
Hapa waliwawekea ngumu wa Zaire wasitawake ki muziki Tz..
 
Sawa kabisa.Talaka atapewa kwa sharti la kubaki kwenye ukoo.
Kuna muda shemeji unaingiaga kwenye vita ya kupigania haki tu (kama hii) bila kujali inakunufaisha nini [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri vile
Sasa si tuanze habari za talaka
 
Back
Top Bottom