Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kalale wewe[emoji1][emoji1]
Hahaaa, ushaamka? Hujambo? Imekaribia midnight, navutavuta ikifika mimi shaaaaa! [emoji1][emoji1]
Kalale wewe[emoji1][emoji1]
Kushakucha huku tayari,haya uwe na usiku mwema ukienda kulalaHahaaa, ushaamka? Hujambo? Imekaribia midnight, navutavuta ikifika mimi shaaaaa! [emoji1][emoji1]
Kushakucha huku tayari,haya uwe na usiku mwema ukienda kulala
Nyumbani kwa SEKELA ni Dar. Jirani, tembelea sikukuu street, chagga street, morogoro/ jamuhuri street, Arusha street. utapata za kila aina
Umeamkaje weye mwanamke.Kalale wewe[emoji1][emoji1]
Hakirudi???Cha mlevi....
Salaam ndugu yanguOSS wana NDEKULE. 1985-86-. Chatu mkali, Ford nk. Bitchuka, Gurumo, Tshibanda Soni, Skassy Kasambulla nk. Abel, Mulenga nk