sembuli2006
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 377
- 2,138
Moja
Jafar Vullu "Mroma"Power Mabula..
Power SangandelePower Vuru Mroma
Power BukukuPower Chaka...
Shikilia msimamo, asilete kigeu geu chake. Lazima akanyage Kibaha kwa Mathias mwaka huuUtakuwa unadhani mimi ni mzee wa pwani eti eeh?
Ulinidampo kweupeee jua linawaka,yuko wapi Bob12? Yegomasika? Achana na kichwa kichafu aliye jivua kwa mara nyingine tena baada ya moudgulf kujiinua kwa kutumia ng'ombe wa kwenye lanchi ya jirani yao...
Cha mlevi....Acha nikureport haraka maana umekwisha chukua vyangu vingi usije leta vitisho
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] madhara yake yaweke hadharaniKuna smoothie inauzwa madukani. Miezi mitatu kilo 30-50 zinakuhusu. Sema nikuletee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka vitofali kwenye mifuko ya baibui lako[emoji3] [emoji3] [emoji3] vikupe sapotiNaimba na mimi uniletee maana nachoka kudondoshwa na upepo khaa!
HahahaPosti za asubuhi unaposti huku usingizi bado..