mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wa mama wanatunza vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikutegemea kwakweli
Ila hata kama unajua janjaro ni mdogo sana?sema (kama ni kweli kamuoa uwoya)vijana wa siku hizi wanapenda kulelewa
Du hatari sanaHuku mbagala jamaa wanatoka na vibinti vidogo 15 mpaka 16 ukihoji na kuuliza wanakujibu watoto wakiwa kwa mama zao
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Siku Liverpool bhanaSiku ya ManU leo
YapWeekend inaendelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jamaa Yanga anamwambia mwenzake wanaume ni sisii...kwasababu mwanaume anakojoaga wa mwishoo[emoji23][emoji23][emoji23]
LikesTatu
Likes kwa likesMoja
Safi sana kumfunga yule jamaaLiver naona nayeye anacheka leo na 3g zake
Weekend nzuri kwa mzee wa liver
AMUN RA18:59
10:0019:00
Hizo ni mbinu za kumchanganya aduiHueleweki. Mara unasarenda. Mara unarudisha majeshi. Hujui kanuni ya vita hata moja?
Pambana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila nikisarenda limoyo langu linadunda na kunisisitiza kuwa, niache uzembe: Nipambane mpaka kieleweke! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shida yako hauko creative. Mbali na tani za maua, mvinyo mwekundu na pea ile ya viatu vya mchuchumio sijaona jingine la maana. Kwenye vita huwezi kuwa unarudia mbinu zile zile zinazokufanya upigwe kila mara....