Du kama koti ukiona joto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sanaHuenda umeolewa na usijue[emoji3] [emoji3] [emoji3] ukiona shida fanya maamuzi magumu. Isiwe shida, ndoa ni kama koti tu, ukiona joto unalivua, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
AMUN RA20:00
Likes asbhLikes za usiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Magoma kitakitaNico, Zengekala & Juwata Jazz Band. JJB. Hiyo ni ndani ya Wami bar Mwanyamala, Mundo Bar Temeke, holi la polisi Chang'ombe. Kigongo bar Buguruni, Mazulia Vingunguti, River side Ubungo nk. 1985-1987. Nico zengekala, moshi William, Tino *******, Shaaban Dede, Fresh Jumbe, Suleiman Mbwembwe. Abdi Ridhiwani, Joseph Rusungu, Mnenge Ramadhani, Kassim Mponda, Chini ya uongozi wa Saidi Mabera "dokta"
HahahahahaShemeji ajiangalie aisee....akipewa talaka halafu abakie ukooni mh!!
Naota naota nadanganywaaaa[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Sema asha semaKabisa kabisa, tafuta kibao kama Tuma,Asha Mwanasefu, Ashibaye nk usikilize mtililiko wa sauti.
Unasema !!!!!!!!Myoyaa myoyaaa...myoyaaaaa...usiharibu ndugu yangu.Shemeji atatunzwa tu na huduma zoooote atapata(namaanisha zoooooteee) bila tatizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]