Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1509293277839.jpg
 
Linda nenosiri lako. Usitumie nenosiri lako la Facebook mahali popote mtandaoni, na kulishiriki na watu wengine. Nenosiri lako linafaa kuwa gumu kukisia. Epuka kujumuisha jina lako au maneno ya kawaida. Jifunze zaidi kuhusu kuunda nenosiri thabiti.
 
Usishiriki kamwe maelezo yako ya kuingia. Walaghai wanaweza kuunda tovuti ghushi ambazo zinafanana na Facebook na kukuomba kuingia kwa anwani ya barua pepe na nenosiri lako. Kila mara kagua URL ya tovuti kabla ya kuingiza maelezo yako ya kuingia.
 
When Syphilis first surfaced, the English called it the ‘French disease’, the French called it the ‘Spanish disease’, Germans called it the ‘French evil’, Russians called it ‘Polish disease’, Poles called it ‘Turkish disease’, Turks called it ‘Christian disease’ and Japan called it ‘Chinese pox'
 
Back
Top Bottom