Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaweza kuanza kusema wanaishi kwa sababu ya msingi. Huenda wana watoto, au wameshirikishana kumbukumbu nyingi, wamekuwa pamoja kwa miaka mingi na wamewekeza mambo mengi ndani ya box lao.Hawataki kupoteza chochote walichokitengeneza.
 
Wanaweza kuwa wanafikiri bado wanaweza kuyaweka sawa mahusiano yao. Wanatazama kila kitu ndani ya box na kuona kama kuna maendeleo na kutaka kuweka vizuri mambo yao. wanaamini kwamba Upendo ni mgumu na inahitaji nguvu kuutunza.Au wanaweza kufikiri kuwa hawajajaribu kufix baadhi ya mambo.
 
Tatizo la Box

Tatizo la box ni kwamba linafunga watu kutoka kuwa na ufahamu wa kilichotokea ndani na nje ya mahusiano yao.

Ingawa sababu kubwa inakuwa ni watoto au mali mliochuma pamoja, Watu wanahitaji kujua kwa undani kabisa sababu ya kuwafanya watake kukaa katika mahusiano.
 

Mkuu, si ungetoa order tu kwa Buffalo Wild Wings wakakutengenezea? [emoji1][emoji1]
 
Tutazimodifai kidogo bebi[emoji39] nakuja chaaapp[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…