Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2a5732632391ea256b439a4e4baa72f6.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mungu ndio chanzo cha kila kitu. Ili imani yako ikue, Amini na utapata zaidi ya uliyoyataka. Inawezekana kwa kila mtu kuzaa kazi nzuri, familia nzuri, maisha mazuri, nyumba nzuri, gari zuri. Pata urithi wa uzao wako, hata kama ni mshitakiwa bado una haki ya kupata afya njema, furaha, amani , fadhili, upendo.
 
Ondoa Vizuizi.

Negative attitude. Mtazamo hasi unaanza na hisia hasi, mawazo hasi , fikira hasi. Na atimae kuwa na matendo hasi. Usiache kazi, biashara eti kwa sababu haijakuletea matunda kwa haraka. Kumbuka kuwa Mungu ni mwanasayansi mkubwa. hakuna aliye tasa kama ukizifuata kanuni zake.
 
Back
Top Bottom