Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

22794031_126147318103333_5666672961491304448_n.jpg
 
Manchester United wanamtaka mchezaji wa Real Madrid Casemiro mwenye umri wa miaka 25 (Diario Gol in Spanish)
Chelsea inaandaa dau la yuro 80m kumnunua kiungo wa kati wa Atletico Madrid Saul Niguez, 22. (Don Balon in Spanish)
Ally McCoist anasema kuwa yuko tayari kurudi ili kuwa meneja wa Rangers baada ya kuwasaidia kupanda daraja wakati alipokuwa mkufunzi kutoka 2011 hadi 2015 (Talksport)
 
Kiungo wa kati wa Leicester Papy Mendy ,25, ambaye yuko katika klabu ya Nice kwa mkopo ana muda mrefu kuihudumia klabu hiyo kulingana na kocha Claude Puel. (Leicester Mercury)
Kampuni ya PCP Partners inataka kuinunua klabu ya Newcastle kwa £300m . (Newcastle Chronicle)
Ununuzi wa beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw, 22, kiungo wa kati wa Everton Ross Barkley, 23, na mshambuliaji wa West Ham Andy Carroll, 28, ulijadiliwa katika mkutano huku wawakilishi wa Newcastle wakikutana na PCP Partners kujadili kuwasajili wachezaji hao.(Daily Star)
 
Back
Top Bottom