myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
WWE
Tutege masikio na kwenye mitandao..
Mamiguu ya huyu mama jamani duh !!![HASHTAG]#TeamDiaZari[/HASHTAG]
![]()
Mimi mwenyeweKwenye hii tamthilia hii ya maisha unampenda mwigizaji gani?
Mimi mwenyeweKwenye hii tamthilia hii ya maisha unampenda mwigizaji gani?
Msiri sana..Trump anaropoka sana na jamaa hataki apoteze ponti kwa media..Naam Mkuu Myoyambendi leo niljaribu kutega sikio kwenye vipindi mbali mbali kwenye TV vya mambo ya politics labda kutakuwa na hint lakini wapi! Huyu Mueller msiri sana LOL!
Wamtie pingu hata Trump mwenyewe kudadadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Patashika nguo kuchanika. Kesho si ajabu mtu akafungwa pingu mchana kweupe ndani ya timu Trump. Sijui ni nani huyo? Sijui ni mmoja au zaidi ya mmoja?