Lakini inahitaji uwe na kipaji, ni muhimu. Watu hawa kama mambo yakienda vibaya huwa hawakati tamaa, maana wanaelewa kuwa watakinua tena. kwa sababu wanacho kitu ndani yao.
Sikiliza mambo wanayoongea, jinsi gani wanajijali wao wenyewe, mambo wanayofanya, umbea wao, mambo ya kijinga wanayoonyesha. Watu wenye mafanikio hawapotezi muda wao kuongea kuhusu wengine. hawajali kusemwa, ukimsema unampa faida.
Kuwa mkarimu sio kiasi cha pesa ulizonazo. Ukarimu ni muda unaowekeza kwa watu kwa kuwajali, kuwapenda, kuwakubali, kujua thamani zao. Ni kufanya kitu ambacho pesa haiwezi kununua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.