Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.Wana Vipaumbele Sahihi

Ukitambua thamani ya muda wako utajifunza kutoupoteza hata kidogo.

Masaa uliyonayo ni 24. kila mtu , kila mwanadamu anayo masaa hayo. Yapo mbele yako, Ni juu yako kujua jinsi gani unautumia muda wako.
 
IMG_2602.jpg
 
Nunua Muda halafu muuzie Mungu, ili Mungu akulipe yeye. Kumbuka muda ni mali yako umepewa na Mungu. Tumia kitu ambacho unacho tayari. Muda wako. Kama huna pesa bado muda unao. Utajiri upo ndani ya muda. Muda una nguvu kuliko Upendo. Muda una nguvu kuliko Imani. Tazama jinsi muda ulivyo na umuhimu katika maisha yako.
 
Back
Top Bottom