ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Indeed brother na AMUN RAHahahahahahah umenikumbusha uzi mmoja niliusoma jana. Jamaa ana mrembo wake wanapendana sana na wana match kwenye kila kitu. Jamaa katangaza ndoa mke mtarajiwa kamuuliza jamaa mie kwetu pesa zipo zipo na sipendi shida. Kwa hiyo uhakikishe una pesa za kutosha. Jamaa kauliza sasa nikiwa sina kwa mfano baadhi ya siku nitakukosa? Mke mtarajiwa kajibu utakosaje pesa si unazitafuta LOL! Kila la heri katika kusaka ngawira ni hobby moja bomba sana hasa pale unapofanikiwa.
PENYE NIA PANA NJIA