Nipo shemeji. Kwema? Siku nzima nakuona tu unaserebuka na akina Mwifa, KK na wapendwa wako wengineo. Niliamua tu kuuchuna. Asante kwa salamu angalau. Siku yako imeendaje?Nakusabahi shemeji[emoji112] [emoji112]
Kweli na nchi yetu TANZANIA iko juu ya yoteAfrika ni moja..sisi wamoja
Indeed brotherAlways AMUN RA.
Safi tu za kutekwa na mihela?karibu tenaMamboz mpendwa?
Mamba wako umewabadilisha na kuwa vimbwa? What's going on?