Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10.UNA UJASIRI WA KUTOSHA.

Unapokuwa umeacha kuishi katika matarajio ya watu, utaanza kuwa mtu mwenye ujasiri na mwenye sauti. jinsi ulivyo. utambulisho wako. utajipenda mwenyewe. Kila siku utakuwa mtu wa kutosheka na ulichonacho. Utakuwa mtu mzuri , utakuwa mtu mpya. mwenye maono, mwenye ufahamu wa kutambua mahali unapoelekea.
 
[emoji445][emoji443][emoji445][emoji443][emoji444]
You Should Know

[emoji767] Abby Heard

I don't know how to say this,
but I thank you very much
for always being there for me
your gentle, friendly touch

You helped me to get better
and stop what I regret
you helped me through the hard times
that, I can't forget.
thank you.

You listened to my problems
in a kind and caring way
and without you
I may not be smiling today
thank you.

I trust you with my secrets
that no one has been told
I trust you with my feelings
and in my heart, your words I'll take
until I'm grey and old
thank you.

-cmvm
 
Hii sio moja ya list ambazo nimekuwa nikikuandikia usome zaidi na zaidi, nimekuwa mkweli kwako, nilipenda kuwa mkubwa kwa hio nikawahi mambo ya kikubwa na kupata uzoefu mwingi ambao ilitakiwa niupate nikiwa mkubwa.
 
1.Mkumbatie mama yako.

Mkumbatie kila mara unapoweza. Acha kumuepuka mama yako anapojaribu kukukumbatia. Jibu meseji zake, jibu simu zake na tafuta muda wa kuwepo karibu yake kwa sababu upo wakati hutaweza kufanya hivyo. Wakati mgumu ambao utatamani kurudisha muda wa mzazi wako.
 
2.Jifunze kuwasamehe ndugu wa familia wanapokukosea

Msamehe kaka yako mnapokuwa mmepishana kwa maneno. Msamehe dada yako kama hajakupigia au kukujibu simu yako kwa wakati . Jisamehe na wewe mwenyewe kwa kuwalaumu ndugu zako kwa vile hawakutumia nguvu ya kukutafuta na wakati hata wewe ulitakiwa kufanya hivyo.
 
4.Usijisikie vibaya wakati mama yako anapotaka kujua unachokifanya

Acha watu wafurahie ujuzi wako, kwa sababu uko salama kwao. najua ni ngumu. lakini usiweke mashaka au kuongea maneno mabaya yatakayokufunga. wapo watu wengi watakaotamani ujuzi wako .
 
6.Kamwe, kamwe, KAMWE Usiamini kwamba unatakiwa kuwa wa chini

Hakuna jambo lisilowezekana, kitu kikubwa cha kufanya ni maamuzi yako tu. Unamua kitu gani. Kile utakachoamua ndio maisha yako. Hakuna kitu cha kweli.
 
5.Usijionyeshe kwa haraka mbele ya mtu ambaye unampenda.

Mara nyingi unaweza kupata maumivu na kujiona mjinga.

Kwa hapa Nansio ni kinyume! Mtu akikupenda anakufata kabisa. Anakukazia macho usoni halafu anakutamkia kabisa yale yanayomsibu! Hahaa, unaweza ukajikuta unakwepesha macho unaangalia pembeni! Hapo kimbembe juu yako kumtamkia NO! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
8.Ukianguka Simama Tena.



Kazi ambayo hukupata kwenye usaili wa kwanza. andaa makala ambayo hutaituma. jaribu kuandika vitu ambavyo watu watakasirika wakisoma. usiache kushindwa akusemeshe ndani ya akili yako kwamba usijaribu kwingine.
 
Back
Top Bottom