Nafikiri alikuwa anamaanisha baada ya kuwa na mtu usiomuoneshe uko too deep kwakeKwa hapa Nansio ni kinyume! Mtu akikupenda anakufata kabisa. Anakukazia macho usoni halafu anakutamkia kabisa yale yanayomsibu! Hahaa, unaweza ukajikuta unakwepesha macho unaangalia pembeni! Hapo kimbembe juu yako kumtamkia NO! [emoji23][emoji23][emoji23]
Unafikiri hatujui? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nacheza sana cross words na Soduku! Nimenyaka hiyo, hapana aisee! [emoji1][emoji1]
Katika Yeye Anitiaye nguvu !!!Nayaweza yote
Very nice indeedNice song
Kazi kweli kweli