Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-29-22-13-03.png
 
3.Ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninaotaka niwepo.



Ujumbe huu mfupi ni wa ndani sana,hata hivyo unahitaji kuutumia pengine boyfriend wako angekushukuru, kwa mfano inaweza kuwa ni ujumbe ahususi kabisa hasa pale mnapokuwa mmeanzana tu. lakini kama mko kwenye mahusiano ya muda mrefu ni sawia kabisa
 
4.Kama nimepata raha maisha yangu, kitu kimoja tu ningetaka kukibadilisha kuwa ningekuwa nimekutana nawe tangu zamani.



Huu ujumbe mtamu, kwa mume wako kwa kuwasiliana ni ujumbe wa hisia za ndani sana, kwamba unajilaumu kuwa hukuweza kukutana nae mapema.
 
5.Mara zote unajua kunifanya nitabasamu, hata wakati nimehuzunika.



Mawasiliano mazuri ni urafiki wa kimapenzi, wa fikra zinazifikirika za maisha yote ya hali ya chini na ya juu, kwa hio kama wewe unamtegemea mume wako tu kukufanya uwe na furaha wakati unapopatwa na shida, na wewe fanya vilevile kwake, hii inaonyesha kujali, mahusiano ya upendo, mawasiliano kama haya humfanya mwanamume afahamu kuwa unafanya kitu cha uhakika kwamba unamfanya ajisikie vyema.
 
6.Hakuna mwanaume duniani anaweza kunielewa vizuri kama unavyonielewa wewe. Nahisi kukukumbatia kila wakati ninapoomgea na wewe.



Mahusiano mazuri huhitaji uaminifu na ukweli, na uwazi wa mawasiliano, kwa hio kama unaweza kusema haya kwake utamfanya ajisikie kuthaminiwa na inshara ya mahusiano bora.
 
7.Najisikia salama na amani ninapokuwa karibu yako.



Mwanaume anapenda kusikia ujumbe huu, kama mwanaumme hupenda kujulikana kuwa wao ni walinzi wa familia. Kwa kufahamu kwamba unalitammbua na kuliona hilo, na hii inakuja kama uliwahi kuumizwa hapo mwanzo , na sasa unapata ulinzi wa kutosha , kama hii ni kweli basi utamfanya ajisikie kuwa mshindi.
 
8.Nafurahia urafiki wako zaidi kuliko mtu yeyote humu duniani.



Wakati wanandoa wanapoingia kwenye mahusiano yenyewe, huanza na kombania ya urafiki kwanza , kwa hio huu ujumbe , au maneno haya ni hatua kubwa sana katika mahusiano.

Utapata mbinu zaidi kwenye makala nyingine jinsi ya kumtimizia mume mahitaji yake.
 
9.Siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe.



Pindi maisha ya watu wawili yanapounganishwa, inakuwa ngumu kwa kila mmoja kufikiri maisha yao bila ya nusu yake hii ni hatua ya kweli katika maisha ya mahusiano, kwa hio kuwasiliana kwa namna hii utamfanya mume wako ajisikie kupendwa.
 
Back
Top Bottom