Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10.Marafiki zangu wananionea gere kuwa na wewe.

Itaonyesha maumivu mwanaume kusikia hivyo, kwamba kuna watu wanakuonea wivu kuwa kwenye mahusiano na wewe, basi haya ni maneno mazuri , ujumbe mtamu, na utakuwa umefikisha mahali pake.
 
Screenshot_2017-10-29-22-13-52.png
 
11.Sifahamu umeniwekaje , lakini nina furahi umefanya hivyo.

Kusema kwa namna hii , na kwa kuwa unafahamu kuwa ni ilikuwa ni vigumu kukupata kwa muda mrefu alihangaika juu yako. Na hii ni meseji nzuri sana ya kumtumia na kumkumbusha jinsi gani aliweza kukupata.
 
12.Ni moyo wangu pekee unaweza kukuambia jinsi ninavyokupenda, maneno yangu hayatoshi.

Hii ni kweli , katika mahusiano hakuna njia ya maneno pekee yanayoonyesha upendo kwa mume au mke, bali ni vitendo vya mtu na moyo wa mtu. Kwa hio jinsi unavyojisikia kwa mumeo , atajiona ni mtu mkubwa sana.
 
INAHUSU HASA WALE WENYE MAHUSIANO MAPYA.

13.Wewe ni mpole unapokuwa na mimi.

Kusema haya maneno matamu kwa boyfriend wako unasevu makusudi mawili. La kwanza kabisa linamwambia mwanaume jinsi gani unamkubali, na uchivalrous wake mnapokuwa wote mnatembea mtaani. Na pili linamwambia kuwa unahitaji aendelee na huo upole wake na uchivalrous wake
 
14.Wewe ni mwanaume mwenye akili, Unafahamu vitu vingi sana.

Haiwezi kuumiza mshituko wa nafsi ya mtu wako kidogo. Hata hivyo kila mtu anahitaji kuheshimiwa na kupendwa, kwa hio , hili nalo ni tamu unaweza kulitumia hata kama mahusiano yenu ni bado mapya sana.
 
15.Nilikuwa na siku mbaya , lakini nilipokufikiria mara ulimwengu wangu ukawa tofauti.



Hii ni sentesi rahisi sana kama ni sentensi ya kweli kutoka kwako, kwa hio ni kitu ambacho boyfriend wako atapenda kusikia kutoka kwako na ataikubali.
 
Back
Top Bottom