myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atujaalie baraka
Mmmmh aiseee kumbe....Poa shemeji kama haiwezekan kumtaja
Mtaje basi nimfahamu asiyejulikanaMmmmh aiseee kumbe....
Ashukuriwe muumba wa Mbingu na Nchishwari..wewe je
SalamaHabari wanalikes wote
Habari wanalikes wote
Salama kidogo. Za huko? Ni mchana au jioni?Nzuri sana, Numbisa! Habari ya asubuhi?
Salama kidogo. Za huko? Ni mchana au jioni?
Kumbe nilitaka kujua kama nina shemeji au lash... Warah kumbe cjachelewaMtaje basi nimfahamu asiyejulikana