AMUN RAjua linachomoza na matumaini mapya
IndeedMungu atujaalie afya
Hahahahaafya ya mwili na mifukoni
Kapsalikes ziendeleee
Naona anaogopa kifo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Vipi shimba wafwa nini?
Hahahaha
What happened jamaniAsubuh mbaya
Good morning my dearNaona anaogopa kifo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good morning my love
Mkuu acha kabisa niko happy sanaDah! Mie nilikuwa nahesabu siku tu ili tumvalishe taji Rutashubanyuma kwa kukuondoa kileleni. Mara tu unazuka! nadhani mzee wa liver furaha aliyokuwa nayo haisemeki!
Sumaku ya pesa hahahahahaNiko busy sana ndugu yangu hapa
Ni kwa ku angalia kidogo tu!
SI UNAJUA NINAVYO PENDA PESA!
Hahahaha
Kwa kweli kabisaleo iwe siku ya baraka