Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
😛😛😛😛[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Enzi hizi ni za kutumia mshahara kwa makinikia kweli mkuu? Good luck [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshahara umeshatoka tukutane kwenye ile bar yenye makinikia wakalii..
Ila kuna wakati mods wanakuboa mpaka unatamani tu ulimwe ban ili kukata mzizi wa fitina. Uzi ambao hauna hata chembe ya utata wala uchafu unakuta umefutwa au umeunganishwa na uzi mwingine usiohusiana kabisa. Inaudhi !!!Amen. Shukran carba.
Nimeona kichwa natafuta ban huko.
https://www.jamiiforums.com/threads/moderator-naomba-mnipige-ban-kwa-week-kadhaa.1344654/
Huyu jamaa kwa vituko jaman
Kama ipo ipo tu mkuu...Enzi hizi ni za kutumia mshahara kwa makinikia kweli mkuu? Good luck [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemejiiiiiii !!!Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nahitaji ufafanuzi kama ni kweli"ndiye?[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jumba jeupe lilijengwa na watumwa na wahamiaji. Trump hana pa kukanyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]