Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ameiharibu sana taasisi ya urais wa Marekani. The bar is now too low such that literally anyone (even hooligans) can be president. No need for integrity, good moral compass, good judgement, self control, thick skin...Kutwa kucha kutukanana na kuanzisha bifu na watu utafikiri jukwaa la siasa JF. Hovyo kabisa yaani !!!

Halafu hao GOP establishment wanavyoufyata kwa huyu Bwana sasa, duu! [emoji23][emoji23]
 
tapatalk_1509379977353.png
 
Back
Top Bottom