Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20658cbdcb5d9f8f1e993e09073f49bf.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
LEO CHUKUA NA HII..
Najua unajua ila nakujuza zaidi....
Maraisi wa Tatu wa East Africa,
[emoji117]PAUL KAGAME
[emoji117]UHURU KENYATTA
[emoji117]JOHN P. MAGUFULI
Hawa wote wamezaliwa mwezi mmoja...MWEZI HUU WA KUMI...
[emoji117]BIRTHDAY zao pia zinapishana siku tatu tatu...
23OCT-KAGAME
26OCT-UHURU
29OCT-MAGUFULI

[emoji117]UMRI WAO WANATOFAUTIANA MIAKA MIWILI MIWILI KWA KUZALIWA...
1957(Kagame)
1959(Magufuli)
1961(Uhuru)
[emoji117]TUMALIZE NA HII..
-Uhuru alichaguliwa 2013
-JPM alichaguliwa 2015
-Kagame amechaguliwa tena mwaka huu 2017
[emoji117]TOFAUTI IKIWA NI MIAKA MIWILI MIWILI....
Zaidi wake zao wote ni Janet
 
Wewe mpaka nikutumie mamba akuibukie kwenye glasi ya maji ndio utaniacha nipumie, khaa! [emoji1][emoji1]
Mamba na Jina la Yesu wapi na wapi? Jaribu uone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na hapo Andjul hajaja...

Mimi nilikuwa nakusaidia. Ulisema mabinti ukiwaita halafu wakaitika abee huwa unalegea. Nilikuwa nakusaidia usilegee ndugu yangu [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Halafu hao GOP establishment wanavyoufyata kwa huyu Bwana sasa, duu! [emoji23][emoji23]
Wanaufyata kwa sababu ya mvuvumko wa white nationalism. Mahilibili ya huko Alabama, Kentucky na red state zingine yanamwona Trump kuwa ndiyo masihi. GOP establishment ye yote akijifanya kumpinga Trump anajiweka katika kikaango cha kuachwa mwaka kesho. Ndiyo maana wote waliojitokeza kumpinga hadharani mwaka kesho hawagombei tena. Trump is very powerful kwa sasa na anaibadilisha GOP kuwa chama cha kihafidhina hasa hasa na sera za kibaguzi. Na hii ndiyo kazi anayoifanya Steve Bannon kwa sasa. Ukimpinga Trump tu na wewe ni GOP unalo. Nenda Breitbart.com ukaone sumu inayotemwa kule. Utaogopa !!!
 
Back
Top Bottom