carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yaani wewe shemeji wewe. Kuna wakati huwa natamani kumwomba bro akudabue vikofi......Ila si kila mtu mwenye "mtu"basi ni "mtu"sahihi kwake,wengine ni kusogeza mda tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajitetea eeh!haya bhanaHakuna kesi hapo. Hasa ukizingatia kuwa nimesoma sheria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameiharibu sana taasisi ya urais wa Marekani. The bar is now too low such that literally anyone (even hooligans) can be president. No need for integrity, good moral compass, good judgement, self control, thick skin...Kutwa kucha kutukanana na kuanzisha bifu na watu utafikiri jukwaa la siasa JF. Hovyo kabisa yaani !!!
Carba, please itika naam!
Abeee
Duh!Carba, please itika naam!
Ukiitika abeee leo nanuna na sitakusemesha siku nzima !!!
Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]Yaani wewe shemeji wewe. Kuna wakati huwa natamani kumwomba bro akudabue vikofi......
Carba, please itika naam!
Ukiitika abeee leo nanuna na sitakusemesha siku nzima !!!
Uuuuwiiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Carba, please itika naam!
Ukiitika abeee leo nanuna na sitakusemesha siku nzima !!!
Namshukuru Mungu ndo yaishia hiviHabari ya wewe bhana! Vipi Monday, naona ndio inachikichia hivyo! [emoji1][emoji1]
Umenisababishia ugomvi ujueWewe mpaka nikutumie mamba akuibukie kwenye glasi ya maji ndio utaniacha nipumie, khaa! [emoji1][emoji1]
Umenisababishia ugomvi ujue