myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
UA linahitaji nyuki..nyuki wanahita UA ...[emoji16][emoji16][emoji16]Me sikuelewi jirani ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
UA linahitaji nyuki..nyuki wanahita UA ...[emoji16][emoji16][emoji16]Me sikuelewi jirani ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona unamtesa ndugu yangu andjul mpaka anatamani kuwa mimi
Hivi kwa nini umekuwa mzuri hivyo
Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Naona unamtesa ndugu yangu andjul mpaka anatamani kuwa mimi
Hivi kwa nini umekuwa mzuri hivyo
Eeeh wewe ndio[emoji125] [emoji125] [emoji125]Unaongea na mimi my?
TayariUnaongea na mimi my?
Wanaume huwa hatununi huwa tunakausha tu.Hivi shemeji mpenzi kweli ulitaka kuninunia?
Na ungenuna ningeenda kuomba BAN kama KK
Ajabu myoya ndiye anae pinga ndoa hii kuvunjwa.Kuna faida anapata kutokana na mzee wa ipielo kukosekana kwa muda mwingi nyumbani. "Anachokitafuta atakipata"Unang'aa mpaka majirani wanateseka duh!
Yaani nimejikuta naangua kicheko - ha ha haaaaa...
Ukiona mpaka Myoya amedata basi jua kuwa mambo ni mazuri. Whatever you are doing, don't stop !!!
Kaka yako huyo ujue?Tayari
Unahangaika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ilijipost ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitaitika tena shemeji[emoji144] [emoji144]Wanaume huwa hatununi huwa tunakausha tu.
Ni kweli nilikuwa nimepanga kukukaushia.
Nilikuomba kabisa usikaitikie abee ka Yego.
Kalishasema kuwa ukikaitikia namna hiyo huwa kanalegea.
Huko kaliko ni mchana na si ajabu kalikuwa kwenye mafriiwei kanaendesha.
Kangelegea huku kanaendesha na kusababisha ajali ingekuwaje?
Safari nyingine kakikuita, ili kuepusha rabsha na yasiyojulikana, we itikia tu Naam!
Ni ushauri wa bure tu shemeji....