Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mi napambana Tu labda watu muende kwa kalumanziraAjabu myoya ndiye anae pinga ndoa hii kuvunjwa.Kuna faida anapata kutokana na mzee wa ipielo kukosekana kwa muda mwingi nyumbani. "Anachokitafuta atakipata"
Nimemuona ndugu yangu analaumu tu...Eeeh wewe ndio[emoji125] [emoji125] [emoji125]
He!Mniulize nini?
Mimi si authority kwenye jambo lo lote jamani.
In short, sijui kitu !!!
Hata sikumbuki tulikuwa tunazungumzia nini aiseehMniulize nini?
Mimi si authority kwenye jambo lo lote jamani.
In short, sijui kitu !!!
Walaaaa!!! Tunaongelea habari za rafiki yake wa juziTayari
Ni sababu za kiuchumi zaidi. Watoto wengi unapata manpower kubwa na hapo hapo ndiyo security yako ya uzeeni. Kwa wenzetu huko kuna system za social security, retirement communities na mambo mengine. Ndiyo maana matajiri hata hawaoni sababu ya kuwa na watoto wengi. Leo hii nchi za Skandinavia na Japan huko wanalia watu hawazaliani ukiona population graphs zao zaidi ya nusu ni wazee....Tunasema kila mtoto anakuja na bahati yake