Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunasema kila mtoto anakuja na bahati yake
Ni sababu za kiuchumi zaidi. Watoto wengi unapata manpower kubwa na hapo hapo ndiyo security yako ya uzeeni. Kwa wenzetu huko kuna system za social security, retirement communities na mambo mengine. Ndiyo maana matajiri hata hawaoni sababu ya kuwa na watoto wengi. Leo hii nchi za Skandinavia na Japan huko wanalia watu hawazaliani ukiona population graphs zao zaidi ya nusu ni wazee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…