myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
mpoe wagonjwa wote
Rudi utetee ushauri wako. Unakimbia nini sasa? Au ulikuwa ushauri wa kuniangamiza? From you?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapana sio wa kukuangamiza babe jamanii.....Rudi utetee ushauri wako. Unakimbia nini sasa? Au ulikuwa ushauri wa kuniangamiza? From you?
Kwema Myoya? Leo hapo kwa jirani kukoje? Ni pilika pilika kama za siku zote nyuki (wa mashineni) wakitafuta ua la kuchavusha au leo kumepoa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jioni njema kwa wote
Ngoja nimtafute nimwambie. Andaa hela za kunitoa Segerea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana sio wa kukuangamiza babe jamanii.....
Ni ushauri tuu wa buree[emoji23] [emoji23]
Unamaanisha nini Khalidoun?