Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naandaa banangu SYB ... alaf nakuja uning'ate sikio ni nani huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nimtafute nimwambie. Andaa hela za kunitoa Segerea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OK. Nimeelewa kwa ufasaha kabisa. Asante sana sis.Jamaa yupo timu pinzani. Lakini macho yake yanaonesha anamkubali sana Former MVP katika Kikapu. Ni sawa na siku Messi akabwe na Yule beki wa Yanga ajiitae Cannavaro, anaweza hata kumuachia apite ili afunge. Shukran kwa kuuliza ili ni Clarify
Ili iweje? Wivu tu unakusumbua wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Angalia sote tusije tukaishia Segerea. Yaliyopita yamepita ati !!!Naandaa banangu SYB ... alaf nakuja uning'ate sikio ni nani huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yes it is. Peace. Tranquility. One with nature. Ni wapi?What a nice place to live
![]()