Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa yupo timu pinzani. Lakini macho yake yanaonesha anamkubali sana Former MVP katika Kikapu. Ni sawa na siku Messi akabwe na Yule beki wa Yanga ajiitae Cannavaro, anaweza hata kumuachia apite ili afunge. Shukran kwa kuuliza ili ni Clarify
OK. Nimeelewa kwa ufasaha kabisa. Asante sana sis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…