Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ukipata jibu nitagi....Hii ni Habari njema kabisa kama nyinyi wawili mmejitoa kiukweli kweli! carbamazepine, ya kweli haya? [emoji23][emoji23]
Niache tu kwakweli,wajua mashemeji wamentenga?[emoji17] [emoji17] [emoji17]Waambie leo sijakatiza mitaa hiyo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Namshukuru Mungu kwakweliMimi niko poa kabisa! Mambo niaje huko?
Kwema tu tunashukuru MunguNipo shemeji KIPENZI. Kwema huko? Siku yako imeendaje? Tumshukuru mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Niache tu kwakweli,wajua mashemeji wamentenga?[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Yaani hapa mwenzio nina maumivu hujui tu,hii ni habari mbaya sana kwangu[emoji17] [emoji17]Hii ni Habari njema kabisa kama nyinyi wawili mmejitoa kiukweli kweli! carbamazepine, ya kweli haya? [emoji23][emoji23]
Hilo ndilo la muhimu shemeji.Kwema tu tunashukuru Mungu
Roho yaniuma mwenzio[emoji24] [emoji24]Kirahisi rahisi namna hii? Haiwezekani kwa kweli! [emoji1]