Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hukusikia jana? Mimi na Andjul tumeshajitoa rasmi katika vita hivi. Wewe jisikie huru tu. Zuka mida yo yote ila angalia tu usigongane na mwenye mali...Waambie leo sijakatiza mitaa hiyo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Nipo shemeji KIPENZI. Kwema huko? Siku yako imeendaje? Tumshukuru mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nakusabahi shemeji kipenzi
Hukusikia jana? Mimi na Andjul tumeshajitoa rasmi katika vita hivi. Wewe jisikie huru tu. Zuka mida yo yote ila angalia tu usigongane na mwenye mali...
Ushauri mzuri....Enendeni mkiyakumbuka ya nyuma, ili mjue yapi mlipitia ili msifanye hayo kuwarudisha mlikotoka.
Jamaa alipaki kindege chake hapo kikaripuliwa na lasers za Dr. No [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]