Yaani hapa mwenzio nina maumivu hujui tu,hii ni habari mbaya sana kwangu[emoji17] [emoji17]
Ukipata jibu nitagi....
Roho yaniuma mwenzio[emoji24] [emoji24]
Wewe ni kontributa nainti naini pasenti. Sasa unajifanya mtakatifu kha !!!Kirahisi rahisi namna hii? Haiwezekani kwa kweli! [emoji1]