Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema mkuu? Kale kajamaa kapo. Kamefurahi balaa kwa vile tumejitoa kwenye mapambano. Kanamrubuni eti asijali atapata mashemeji wengine wa nguvu kutoka Nansio.Ushuke na mitikisiko ya dunia umwachie nani? Komaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata raha sina leo. Na log off nawaachia li JF lenu mimi. Aaaaaargh [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️