Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema mkuu? Kale kajamaa kapo. Kamefurahi balaa kwa vile tumejitoa kwenye mapambano. Kanamrubuni eti asijali atapata mashemeji wengine wa nguvu kutoka Nansio.Ushuke na mitikisiko ya dunia umwachie nani? Komaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona unavyofurahia jirani mana "mmepata mlichokuwa mnakitaka"[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji24] [emoji24][emoji16][emoji16][emoji16]
Shemeji[emoji137] [emoji137]Ushuke na mitikisiko ya dunia umwachie nani? Komaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunataka utulivuNaona unavyofurahia jirani mana "mmepata mlichokuwa mnakitaka"[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji24] [emoji24]
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Kwema mkuu? Kale kajamaa kapo. Kamefurahi balaa kwa vile tumejitoa kwenye mapambano. Kanamrubuni eti asijali atapata mashemeji wengine wa nguvu kutoka Nansio.
Hata raha sina leo. Na log off nawaachia li JF lenu mimi. Aaaaaargh [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Majirani wabaya sanaTunataka utulivu
Cole..anatosha..
Wapende majira kama unovyojipendaMajirani wabaya sana
Wee pigana vita vya kisharobaro tu,hauna wa kukushinda.Hii ni Habari njema kabisa kama nyinyi wawili mmejitoa kiukweli kweli! carbamazepine, ya kweli haya? [emoji23][emoji23]