Kuchuja Juice Au kutochuja Juice?
Baadhi ya watu hupenda kuchuja juice na kuondoa kamba kamba zilizopo kwenye juice, lakini wataalamu wanasema sio vizuri kuchuja, kwa sababu hizo nyuzi nyuzi ni za muhimu kwenye mwili, zinasaidia kupunguza uzito, kazi ya tumbo, na kusaidia kupata haja kubwa bila tatizo. kwa hio usichuje