Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-04-19-20-28.png
 
Wote tulishasikia hayo kabla, lakini inastahili iwe inarudiwa kila mara; usiache chakula chako kizuri cha samaki. kwa kuamua kula chakula ” cha kujidanyishia” au kwa wiki mara moja,usijishibishe kwa vitu visivyofaa, ;lakini kula chakula sahihi kamili na cha wastani .
 
Malkia. Leo nilikuwa sijakusalimia. Jumamosi yako imeendaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Shkamoo dadiii....
Imeenda salama kabisa my darling, za kwako?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Tumshukuru Mungu.
 
Carbohydrates hata hivyo; haviwezi kuvunjwa na mwili ili kutumika kama mafuta yalio tayari. mwili wako ni lazima utoe insulin ili kubadilisha hizo carbs kuwa glucose kwa ajili ya nguvu, lakini miili yetu inapokuwa haiunguzi sukari kwa haraka vya kutosha
 
hutunza kwa ajili ya matumizi ya baadae. Tatizo ni kwamba , inapokuwa imetunzwa haitufanyi kujisikia tumeshiba, kwa hio tunakula tena kama kawaida, na kutunza zaidi na zaidi kama mafuta wakati miili yetu inapokuwa haiwezi kuunguza kwa haraka.
 
Ukila chakula cha kichina utasikia njaa baada tu ya nusu saa.

Ndio sababu kubwa ambayo inatufanya tuwe na mafuta mengi mwilini , kwa kuwa kila tunapokula , kuna kitu kinatunzwa kwa ajili ya baadae, na matokeo yake unakuta mtu ana kisukari.
 
kwa hio punguza aina hii ya carbs, ogopa vyakula vilivyoandikwa ”fAT FREE” ina maana kwamba fat free itakuwa ni mkusanyiko mkubwa wa carbs na sukari, ambavyo vinabadilika kuwa mafuta mwilini . njia nzuri ya kuweza kujisikia umeshiba kwa muda mrefu ni kubalance kila chakula unachokula .
 
3.Jifunze Kukubali Mafuta.

Uwe na common sense punguza carbs zote . kwa kusoma nutrition lables for sugar and carbohydrate content, Maamuzi yetu yanaweza kufanywa kwa urahisi tu. Njia ya ukweli ya kupunguza uzito na kubaki na uzito wa kawaida ni kula raw as possible.
 
Back
Top Bottom