Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
8.Strengthens Immune System.
Kunywa maji katika tumbo lililo wazi inasaidia kuflush na kurekebisha lymphatic system, ambazo huongeza kiasi cha immunity. ukiwa na strong immune utakuwa salama kutokana na maradhi na kujikinga kutopata magonjwa mara kwa mara.