Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu ndo alikuwa awe bi harusi?
Huyu ndo alikuwa awe bi harusi?
Nice kwa wenye hela zao wapo wanajirusha ,wengine tupo tunaangalia giza linavyoingia na wingu kubwaJust cool how is rock city
Over speedingKupona hapa ilikuwa haiwezekani labda kwa muujiza.
Utafikiri kweli vile....Nice kwa wenye hela zao wapo wanajirusha ,wengine tupo tunaangalia giza linavyoingia na wingu kubwa
Nasikia jamaa walikuwa wanakwenda mkuku balaa. Eti siku zikiwa zimefika zimefika tu lakini mambo mengine yanaweza kuepukwa. Yaani mti wenyewe waliougonga hoi. Picha zao mbaya nimeziona. Wapumzike kwa amani tu basi....Over speeding
Necha at its best....
Hapo sasa. Mjeshi na mahakama (ya kiraia). Mpambano !!!
Kisu kimegeuka unyoya. Maajabu !!!
Aombe sana karata zake za kisiasa awe amezicheza vizuri. Mchezo hatari huu huwa hauna huruma kwa wote wafanyao makosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]