Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20171103-WA0047.jpg
 
Majira yanakuja ya kuwa na matunda mengi mbalimbali, hasa msimu huu wa maembe, mwezi wa kumi na mbili una magonjwa mengi, safisha sehemu yako ya kuhifadhia chakula, mazingira yako, safisha mwili wako pia kwa kuondoa vyakula jikoni kwako , na badala yake jaza matunda na mboga za majani.
 
Ni nini hasa kula kilicho safi?

Kula kilicho safi maana yake ni kila sehemu , lakini kula kilicho safi hasa ni kitu gani? Maana ya kula kilicho safi ni kula kilicho bora na chenye afya kutoka katika kila kundi la vyakula, Vyakula kama mbaga za majani, matunda, nafaka kamili, na vyakula vya protini.
 
Hii ni pamoja na kuwa mbali na vyakula vilivyotengenezwa tayari kwa muda mrefu. Wakati unapokula kilicho safi, unajaribu kuupa mwili wako kilicho bora ambacho hakipo hapo, vyakula ambavyo vitaufanya mwili wako uwe na afya na uzito ulio sahihi.
 
Back
Top Bottom