Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Umekosea sana kugusa zizi langu...Nina uwezo wa kwenda hata siku tano bila kulala. We tupambane tu hapa hapa mchana kweupe...
Napenda kuutangazia ukoo kuanzia leo,mimi CARBA nikiwa na akili zangu timamu NIMEMUACHA COLE na ukoo nahama[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji164] [emoji164] [emoji163] [emoji162] [emoji162] [emoji162] [emoji161] [emoji161] [emoji163] [emoji163] nashukuru kwa mapenzi ya ukooMapenzi ya aina hii hayaoti mtini bro. You have to work on it.....
Shemeji kipenzi [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hivi hii ni Leo au kila siku
Sina maana hiyo namaanisha nime miss kubebishwa na mahaba yako. Huyo jini alitupa kamdudu ana nguvu lakini kasahau kitu kimojaNingekuwa kama "mate"jakitoo??[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli akufukuzae hakwambii toka,ngoja nikalale mie[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ati nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikupe dadi wangu akurithi maana si kwa kubaki singo huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yaani me muongo?[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] waaaaaiiiiiiii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa naona ni gusa unase, hapafai! Shaaaa! [emoji1550][emoji1550]
Sina maana hiyo bro. Nina maana nimemiss mahaba ya carba wanguUnawish Carba angekuwa ndo Jakitoo? Unamaanisha nini bro?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata SITAKI maana na ukoo nahama bora nikaanze upya....
Yaani leo COLE ana wish mimi carba niwe kama wewe jakitoo?[emoji24] [emoji24]
Kweli dunia duara[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Umeona?nauliza umeona shemeji??[emoji124] [emoji124] [emoji124]Ati nini?
Ukoo hutahama. Na usifanye maamuzi makubwa wakati una hasira. Angalau msubiri Andjul aje kwanza. Nisikilize!!!Hata SITAKI maana na ukoo nahama bora nikaanze upya....
Yaani leo COLE ana wish mimi carba niwe kama wewe jakitoo?[emoji24] [emoji24]
Kweli dunia duara[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kwani kuna nini? Kwani leo hakuna ipieloo?Shemeji kipenzi [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hivi hii ni Leo au kila siku
Nawaachia wana ukoo waamue mana me naachia ngazi na kadi narudisha[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hizi leo hata hazinifai,acha niende nikapate hii kitu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ati nini?