Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-04-21-38-41.png
 
Hapa naona ni gusa unase, hapafai! Shaaaa! [emoji1550][emoji1550]
Stay away from my girl...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nipo naangalia College football hapa. Thanks for the laughs Yego. Uzi huu safi sana. Wings ziko tayari ni kushushia na Chardonnay tu sasa. Bakia salama mkuu
 
Napenda kuutangazia ukoo kuanzia leo,mimi CARBA nikiwa na akili zangu timamu NIMEMUACHA COLE na ukoo nahama[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji164] [emoji164] [emoji163] [emoji162] [emoji162] [emoji162] [emoji161] [emoji161] [emoji163] [emoji163] nashukuru kwa mapenzi ya ukoo
Oh boy.....!!!
 
Napenda kurebisha tangazo kwa niaba ya mpenzi wangu, tangazo hili mlipuuze kwa binti huyu anashindwa kuelezea upendo ninaompa na hatoweza kuniacha hata iweje
Period
 
Back
Top Bottom